-
Kutoka 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha Musa akamwambia Farao: “Kwa heshima yako niambie wakati unaotaka nimwombe Mungu awaondoe vyura kutoka kwako, kutoka kwa watumishi wako, kutoka kwa watu wako, na kutoka katika nyumba zenu. Watabaki katika Mto Nile tu.”
-