-
Kutoka 8:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha Musa akamwambia Farao: “Jitwalie utukufu kutoka kwangu na kusema ni wakati gani nitakaposihi kwa ajili yako na watumishi wako na watu wako ili kuwaondolea mbali hao vyura kutoka kwenu na nyumbani mwenu. Watabaki katika Mto Nile tu.”
-