Kutoka 10:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Nao wataifunika ardhi yote, hivi kwamba hamtaweza kuiona ardhi. Watakula kabisa mimea ambayo haikuharibiwa na mvua ya mawe ambayo mlibaki nayo, nao watakula miti yenu yote inayomea shambani.+
5 Nao wataifunika ardhi yote, hivi kwamba hamtaweza kuiona ardhi. Watakula kabisa mimea ambayo haikuharibiwa na mvua ya mawe ambayo mlibaki nayo, nao watakula miti yenu yote inayomea shambani.+