-
Kutoka 10:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Mara moja Musa akainyoosha fimbo yake juu ya nchi ya Misri, na Yehova akasababisha upepo wa mashariki uvume nchini mchana kutwa na usiku kucha. Asubuhi ilipofika, upepo huo wa mashariki ukaleta nzige.
-