Kutoka 10:13 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 13 Mara moja Musa akainyoosha fimbo yake juu ya nchi ya Misri, naye Yehova akafanya upepo wa mashariki+ uvume juu ya nchi siku hiyo yote na usiku wote. Asubuhi ikafika nao upepo wa mashariki ukawaleta hao nzige.
13 Mara moja Musa akainyoosha fimbo yake juu ya nchi ya Misri, naye Yehova akafanya upepo wa mashariki+ uvume juu ya nchi siku hiyo yote na usiku wote. Asubuhi ikafika nao upepo wa mashariki ukawaleta hao nzige.