-
Kutoka 18:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Baba mkwe wake alipoona mambo yote ambayo Musa alikuwa akiwafanyia watu, akamuuliza: “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini unaketi hapa peke yako huku watu wote wakisimama mbele yako tangu asubuhi mpaka jioni?”
-