-
Kutoka 18:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Naye baba-mkwe wa Musa akaona yote aliyokuwa akiyatenda kwa ajili ya watu. Basi akasema: “Ni shughuli ya aina gani hii unayotenda kwa ajili ya watu? Kwa nini ni wewe peke yako unayeendelea kuketi, na watu wote wanaendelea kusimama mbele yako tangu asubuhi mpaka jioni?”
-