Kutoka 20:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Ikiwa mtanijengea madhabahu ya mawe, msiijenge kwa mawe yaliyokatwa kwa vifaa.*+ Kwa maana mkiyachonga kwa tindo, mtaitia madhabahu hiyo unajisi.
25 Ikiwa mtanijengea madhabahu ya mawe, msiijenge kwa mawe yaliyokatwa kwa vifaa.*+ Kwa maana mkiyachonga kwa tindo, mtaitia madhabahu hiyo unajisi.