Kutoka 21:28 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 28 “Ng’ombe dume akimpiga pembe mwanamume au mwanamke na kumuua, ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe+ na nyama yake haipaswi kuliwa; lakini mwenye ng’ombe dume huyo hataadhibiwa. Kutoka Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 21:28 w10 4/15 29 Kutoka Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:28 Mnara wa Mlinzi (2010),4/15/2010, uku. 29
28 “Ng’ombe dume akimpiga pembe mwanamume au mwanamke na kumuua, ng’ombe dume huyo atauawa kwa kupigwa mawe+ na nyama yake haipaswi kuliwa; lakini mwenye ng’ombe dume huyo hataadhibiwa.