-
Kutoka 21:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
35 Ng’ombe dume akimuumiza na kumuua ng’ombe dume wa mtu mwingine, basi watamuuza ng’ombe dume aliye hai na kugawana pesa hizo; wanapaswa pia kugawana ng’ombe aliyekufa.
-