-
Kutoka 26:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Katika pembe zote mbili kutakuwa na viunzi viwili kuanzia sehemu ya chini mpaka sehemu ya juu, kwenye pete ya kwanza. Hivyo ndivyo utakavyotengeneza viunzi vyote viwili; vitakuwa mihimili miwili ya pembeni.
-