-
Kutoka 26:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Navyo vitakuwa pacha sehemu ya chini, navyo vitakuwa pacha mpaka juu ya kila moja kwenye pete ya kwanza. Hivyo ndivyo itakavyokuwa kwa ajili ya vyote viwili. Vitakuwa miimo miwili ya pembeni.
-