Kutoka 34:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Mtamkomboa mzaliwa wa kwanza wa punda kwa kondoo. Lakini msipomkomboa, basi mtamvunja shingo. Mnapaswa kumkomboa kila mzaliwa wenu wa kwanza kati ya wana wenu.+ Mtu yeyote asije mbele zangu mikono mitupu.
20 Mtamkomboa mzaliwa wa kwanza wa punda kwa kondoo. Lakini msipomkomboa, basi mtamvunja shingo. Mnapaswa kumkomboa kila mzaliwa wenu wa kwanza kati ya wana wenu.+ Mtu yeyote asije mbele zangu mikono mitupu.