-
Kutoka 35:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Wote waliotoa fedha na shaba wakaleta mchango wa Yehova, na wote waliokuwa na mbao za mshita za kutumiwa katika kazi yoyote ile wakazileta.
-