-
Kutoka 35:24Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
24 Wale wote wanaochanga mchango wa fedha na shaba wakaleta mchango wa Yehova, nao wale wote waliokuwa na mbao za mshita kwa ajili ya kazi yote ya utumishi wakazileta.
-