Mambo ya Walawi 9:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Baada ya hayo Haruni akamchinja yule ng’ombe dume na kondoo dume wa dhabihu ya ushirika aliyepaswa kutolewa kwa ajili ya watu. Kisha wanawe wakampa damu, akainyunyiza pande zote za madhabahu.+
18 Baada ya hayo Haruni akamchinja yule ng’ombe dume na kondoo dume wa dhabihu ya ushirika aliyepaswa kutolewa kwa ajili ya watu. Kisha wanawe wakampa damu, akainyunyiza pande zote za madhabahu.+