-
Mambo ya Walawi 11:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “‘Kati ya wadudu wote wenye mabawa wanaoishi katika makundi makubwa na wanaotambaa kwa miguu yote minne, mnaweza kula tu wadudu wenye vifundo miguuni wanaoruka ardhini.
-