-
Mambo ya Walawi 11:21Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
21 “‘Ila hiki ndicho mnachoweza kula kati ya viumbe vyote vyenye mabawa vinavyozaana kwa wingi ambavyo hutembea kwa miguu minne, vile vyenye miguu ya kuruka juu ya miguu yao, ili kuruka nayo juu ya dunia.
-