-
Mambo ya Walawi 13:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 kuhani atalichunguza doa hilo. Ikiwa nywele zimebadilika na kuwa nyeupe katika doa hilo na inaonekana limepenya chini ya ngozi, ni ukoma uliotokea kwenye kovu, basi kuhani atatangaza kwamba mtu huyo si safi. Ni ugonjwa wa ukoma.
-