-
Mambo ya Walawi 13:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Lakini doa hilo likibaki vilevile na lisipoenea kwenye ngozi, na ikiwa limeanza kupona, ni uvimbe tu wa lile kovu, kuhani atatangaza kwamba mtu huyo ni safi, kwa sababu ni mwasho wa kovu hilo.
-