-
Mambo ya Walawi 14:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Naye atatia kiasi kidogo cha mafuta yaliyo kwenye kiganja chake na kupaka ncha ya sikio la kulia la mtu anayejitakasa na kidole gumba cha mkono wake wa kulia na kidole gumba cha mguu wake wa kulia sehemu zilezile alizompaka damu ya dhabihu ya hatia.
-