-
Mambo ya Walawi 14:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Kuhani ataagiza vitu vyote vilivyo ndani ya nyumba hiyo vitolewe nje kabla hajaja kuikagua, ili asitangaze kwamba kila kitu kilicho katika nyumba hiyo si safi; baada ya hilo ataingia ndani na kuikagua.
-