-
Mambo ya Walawi 14:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Naye kuhani atatoa maagizo, nao wataondoa vitu katika nyumba hiyo kabla kuhani hajaingia kuliona pigo, asije akatangaza kila kitu kilicho katika nyumba hiyo kuwa si safi; kisha kuhani ataingia na kuiona nyumba hiyo.
-