-
Mambo ya Walawi 15:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Mtu yeyote anayegusa kitu chochote kilichokaliwa na mtu huyo hatakuwa safi mpaka jioni, na yeyote anayebeba vitu hivyo atafua mavazi yake na kuoga kwenye maji, naye hatakuwa safi mpaka jioni.
-