-
Mambo ya Walawi 15:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Na mtu yeyote atakayegusa chochote kilicho chini yake atakuwa asiye safi mpaka jioni; naye atakayevichukua atayafua mavazi yake, naye ataoga katika maji na kuwa asiye safi mpaka jioni.
-