-
Mambo ya Walawi 23:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Msile mkate wowote, nafaka zilizokaangwa, au nafaka zilizotoka kuvunwa, mpaka mtakapomtolea Mungu dhabihu zenu. Ni sheria ya kudumu katika vizazi vyenu vyote mahali popote mtakapoishi.
-