Mambo ya Walawi 23:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Nanyi hamtakula mkate wowote wala nafaka iliyochomwa wala nafaka mpya mpaka siku hiyo,+ mpaka mtakapoleta toleo la Mungu wenu. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo kwa vizazi vyenu vyote katika makao yenu yote.
14 Nanyi hamtakula mkate wowote wala nafaka iliyochomwa wala nafaka mpya mpaka siku hiyo,+ mpaka mtakapoleta toleo la Mungu wenu. Ni sheria mpaka wakati usio na kipimo kwa vizazi vyenu vyote katika makao yenu yote.