Hesabu 7:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Basi wakuu wakaleta matoleo yao siku ya kuzindua*+ madhabahu na kuitia mafuta. Wakuu walipoleta matoleo yao mbele ya madhabahu,
10 Basi wakuu wakaleta matoleo yao siku ya kuzindua*+ madhabahu na kuitia mafuta. Wakuu walipoleta matoleo yao mbele ya madhabahu,