Hesabu 7:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Sasa wakuu wakatoa toleo lao wakati wa kuzinduliwa+ kwa madhabahu katika siku ya kutiwa kwake mafuta, nao wakuu wakatoa toleo lao mbele ya madhabahu.
10 Sasa wakuu wakatoa toleo lao wakati wa kuzinduliwa+ kwa madhabahu katika siku ya kutiwa kwake mafuta, nao wakuu wakatoa toleo lao mbele ya madhabahu.