-
Hesabu 17:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Basi Musa akazungumza na Waisraeli, na wakuu wao wote wakampa fimbo—fimbo moja kutoka kwa kila mkuu wa kabila, fimbo 12—nayo fimbo ya Haruni ilikuwa kati ya fimbo zao.
-