Hesabu 22:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Basi Wamoabu wakawaambia wazee wa Midiani:+ “Sasa umati huu utaramba eneo letu lote kama ng’ombe dume anavyokula nyasi shambani.” Balaki mwana wa Sipori ndiye aliyekuwa mfalme wa Moabu wakati huo.
4 Basi Wamoabu wakawaambia wazee wa Midiani:+ “Sasa umati huu utaramba eneo letu lote kama ng’ombe dume anavyokula nyasi shambani.” Balaki mwana wa Sipori ndiye aliyekuwa mfalme wa Moabu wakati huo.