-
Hesabu 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Balaamu akaamka asubuhi na kuwaambia wakuu wa Balaki: “Rudini katika nchi yenu, kwa maana Yehova amenikataza kwenda pamoja nanyi.”
-