-
Hesabu 22:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha Balaamu akaondoka asubuhi na kuwaambia wakuu wa Balaki: “Nendeni katika nchi yenu, kwa sababu Yehova amekataa kuniruhusu niende pamoja nanyi.”
-