Hesabu 23:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Havumilii nguvu zozote za uchawi dhidi ya Yakobo,Wala haruhusu taabu yoyote impate Israeli. Yehova Mungu wake yuko pamoja nao,+Nao humsifu kwa sauti kubwa kuwa mfalme wao.
21 Havumilii nguvu zozote za uchawi dhidi ya Yakobo,Wala haruhusu taabu yoyote impate Israeli. Yehova Mungu wake yuko pamoja nao,+Nao humsifu kwa sauti kubwa kuwa mfalme wao.