-
Hesabu 27:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Na ikiwa baba yake hana ndugu, mtampa urithi wake mtu wa karibu zaidi wa ukoo aliye na uhusiano wa damu naye. Uamuzi huu utakuwa sheria kwa Waisraeli, kama Yehova alivyomwamuru Musa.’”
-