-
Hesabu 30:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Lakini ikiwa mume wake hampingi siku baada ya siku, basi amekubali viapo vyote au nadhiri zote za kujinyima za mke wake. Anakubaliana nazo kwa sababu hakumpinga siku alipomsikia akiweka nadhiri hizo.
-