Hesabu 30:14 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 14 Lakini ikiwa mume wake atakaa kimya kabisa kumwelekea siku baada ya siku, yeye ameziimarisha pia nadhiri zake zote au nadhiri zake zote za kujiepusha zilizo juu yake.+ Amezithibitisha kwa sababu alikaa kimya kumwelekea siku alipozisikia.
14 Lakini ikiwa mume wake atakaa kimya kabisa kumwelekea siku baada ya siku, yeye ameziimarisha pia nadhiri zake zote au nadhiri zake zote za kujiepusha zilizo juu yake.+ Amezithibitisha kwa sababu alikaa kimya kumwelekea siku alipozisikia.