-
Hesabu 36:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Lakini wakiolewa na wanaume wa kabila lingine la Waisraeli, urithi wa wanawake hao utaondolewa kutoka katika urithi wa baba zetu na kuongezwa kwenye urithi wa kabila ambamo wataolewa, kwa hiyo urithi huo utaondolewa kutoka katika urithi wetu tuliopokea kwa kura.
-