3 Ikiwa yeyote wa wana wa yale makabila mengine ya wana wa Israeli atawachukua wawe wake zao, urithi wa wanawake hao utaondolewa pia kutoka katika urithi wa baba zetu na kuongezwa katika urithi wa kabila watakaloingia, hivi kwamba utaondolewa katika kura ya urithi wetu.+