Kumbukumbu la Torati 1:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Basi nikawachukua viongozi wa makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa viongozi wenu, wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, wakuu wa makumi, na maofisa wa makabila yenu.+ Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:15 w07 3/15 20 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:15 Mnara wa Mlinzi,3/15/2007, uku. 20
15 Basi nikawachukua viongozi wa makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa viongozi wenu, wakuu wa maelfu, wakuu wa mamia, wakuu wa hamsini, wakuu wa makumi, na maofisa wa makabila yenu.+