Kumbukumbu la Torati 1:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Basi nikawachukua vichwa vya makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa vichwa juu yenu, wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na wakuu wa 50 na wakuu wa makumi na maofisa wa makabila yenu.+ Kumbukumbu la Torati Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 1:15 w07 3/15 20 Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 1:15 Mnara wa Mlinzi,3/15/2007, uku. 20
15 Basi nikawachukua vichwa vya makabila yenu, wanaume wenye hekima na uzoefu, na kuwaweka kuwa vichwa juu yenu, wakuu wa maelfu na wakuu wa mamia na wakuu wa 50 na wakuu wa makumi na maofisa wa makabila yenu.+