Kumbukumbu la Torati 4:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+ Kumbukumbu la Torati Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 4:26 Ufahamu,
26 nachukua mbingu na dunia ili ziwe mashahidi dhidi yenu leo ya kwamba kwa hakika mtaangamia haraka kutoka katika nchi mnayovuka Yordani kwenda kuimiliki. Hamtaishi kwa muda mrefu katika nchi hiyo, badala yake mtaangamizwa kabisa.+