Kumbukumbu la Torati 12:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 “Lakini wakati wowote mnapotamani nyama, mtamchinja mnyama na kula nyama yake+ kulingana na baraka ambayo Yehova Mungu wenu amewapa katika majiji* yenu yote. Mtu asiye safi na mtu aliye safi anaweza kula, kama mnavyokula swala au paa.
15 “Lakini wakati wowote mnapotamani nyama, mtamchinja mnyama na kula nyama yake+ kulingana na baraka ambayo Yehova Mungu wenu amewapa katika majiji* yenu yote. Mtu asiye safi na mtu aliye safi anaweza kula, kama mnavyokula swala au paa.