-
Kumbukumbu la Torati 13:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Kisha mtakusanya nyara zote za jiji hilo katikati ya uwanja wa jiji na kuliteketeza jiji hilo kwa moto, na nyara hizo zitakuwa dhabihu nzima ya kuteketezwa kwa Yehova Mungu wenu. Nalo litabaki rundo la magofu milele. Halipaswi kamwe kujengwa tena.
-