Kumbukumbu la Torati 30:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Yehova Mungu wenu atawarudisha katika nchi ambayo baba zenu walimiliki, nanyi mtaimiliki; naye atawafanikisha na kuwafanya mwongezeke kuliko baba zenu.+
5 Yehova Mungu wenu atawarudisha katika nchi ambayo baba zenu walimiliki, nanyi mtaimiliki; naye atawafanikisha na kuwafanya mwongezeke kuliko baba zenu.+