Kumbukumbu la Torati 30:5 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 5 Yehova Mungu wako kwa kweli atakuleta katika nchi ambayo baba zako walimiliki, nawe utaimiliki; naye kwa kweli atakufanyia mema na kukuzidisha wewe kuliko baba zako.+
5 Yehova Mungu wako kwa kweli atakuleta katika nchi ambayo baba zako walimiliki, nawe utaimiliki; naye kwa kweli atakufanyia mema na kukuzidisha wewe kuliko baba zako.+