-
Yoshua 2:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye akawaambia: “Nendeni milimani mkajifiche huko kwa siku tatu ili wale wanaowafuatia wasiwapate. Kisha wakirudi mnaweza kwenda zenu.”
-