-
Yoshua 2:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Naye akawaambia: “Nendeni katika eneo lenye milima, ili wale wanaowafuatilia wasije wakawapata; nanyi mjifiche huko siku tatu, mpaka wale wanaowafuatilia wawe wamerudi, kisha mwende zenu baadaye.”
-