-
Yoshua 6:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Yoshua alikuwa amewaamuru hivi watu: “Msipige kelele wala kupaza sauti. Msiseme neno lolote mpaka siku nitakapowaambia, ‘Pazeni sauti!’ Ndipo mtakapopaza sauti.”
-