Yoshua 6:22 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 22 Yoshua akawaambia wale wanaume wawili waliokuwa wameipeleleza nchi: “Nendeni katika nyumba ya yule mwanamke kahaba, mkamtoe nje pamoja na watu wake wote, kama mlivyomwapia.”+
22 Yoshua akawaambia wale wanaume wawili waliokuwa wameipeleleza nchi: “Nendeni katika nyumba ya yule mwanamke kahaba, mkamtoe nje pamoja na watu wake wote, kama mlivyomwapia.”+